0
 Hali halisi niliyoweza kukutana nayo Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara katika eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani.

 Hali yakushangaza hapa ni sehemu muhimu sana kwa huduma za kijamii sehemu inayokusanya watu wa aina Mbalimbali wageni na wenyeji, lakini inaonekana kama mamlaka Husika imekusau hali inayopelekea kurundikana kwa taka katika Eneo la Stendi hii.
 Hali halisi niliyoweza kukutana nayo Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara katika eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani.
Nibora jitumbue mwenyewe taratibutaratibu kuliko kutumbuliwa bila gazi

Post a Comment

Top