
Bonanza: Timu ya Liwale united iliikaribisha timu ya Transporter mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa wilaya ya Liwale.
Timu ya liwale united ilikuwa ya kwanza kupachika bao kipindi cha kwanza bao lililodumu mpaka mapumziko
Kipindi cha pili liwale united waliongeza goli 2 huku pia transporter waliweza kujipatia bao moja la kufutia machozi
Mpaka mpira unaisha matokeo yalikuwa liwale united 3 vs 1 transport
Leo kutakuwa na mchezo kati ya vijana star vs polisi
Post a Comment