Leo bonanza likiwa linaendelea siku ya tano toka lianze leo ijumaa kulikuwa na mchezo ulikutanisha timu ya Vijana star dhidi ya Polisi mchezo uliochezwa katika uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi bonanza hii ikiwa na lengo la kuzipa uzoefu timu zitakazo cheza mashindano ya ligi daraja la tatu taifa ngazi ya mkoa inayotarajia kufanyika mwezi huu februari wilayani Liwale.
timu iliyovaa jezi nyeupe ni Vijana star nailivyovyaa nyekundi timu ya Polisi
timu zikiwa zinapeana mikono zikiwa tayari kwa kuingia uwanjani kucheza mchezo
Mchezo wa leo ulikuwa wa aina yake zilipokutana timu hizi mbili kati ya Vijana Star Vs Polisi mchezo uliochezwa katika uwanja wa wilaya ya Liwale mchezo ulianza kwa kasi katika kipindi cha kwa kwanza,timu ya Vijana Star ilikuwa ya kwanza kujipatia bao 4 katika dakika ya 12,17,25 na dakika ya 26 na polisi iliweza kurudisha bao 2 katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 16 na dakika 32.
Mchezo wa leo ndio mchezo ulikuwa wa pekee ulikuwa ukichezeshwa na mwamuzi Mtinie aliweza kutoa kadi 3 ya kwanza ilikuwa ya njano na kadi nyekundi 2 kwa kila timu ilikuwa pungufu ya mchezaji moja na kuzifanya kila timu kucheza wachezaji 10 kila upande.
Bonanza kesho litaendelea tena kwa siku ya 6 ambapo kesho kutakuwa na timu ya MIKUKUYUMBU WORLD SOCCER Vs TRANSPORTER

Post a Comment