Uwezekano wa kilabu
ya Chelsea kushushwa hadi daraja la kwanza la ligi kuu ya Uingereza
upo,kaimu mkufunzi wa kilabu hiyo Guus Hidink amesema.
The Blues
wako katika nafasi a 14,ikiwa pointi sita juu ya timu tatu
zinazokabiliwa na tishio la kushushwa katika ligi hiyo,na inatarajiwa
kuchuana na Everton na Arsenal katika mechi zinazofuatia.''Ni Kweli'',alisema Hiddink,ambaye alichukua timu hiyo kutoka kwa kocha Jose Mourinho mnamo mwezi Disemba.
Chelsea ilikuwa pointi moja juu ya timu tatu zinazokabiliwa na tishio la kushushwa dara wakati Mourinho alipoondoka.
Post a Comment