Mabingwa watetezi wa kombe la Mfalme Barcelona wamesonga mbele kwenye hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.
Barcelona
waliwachapa Athletic Bilbao kwa mabao 3-1 kwa mabao ya Luis Suarez,
Gerrard Pique na Neymer na hiyo barca kusonga mbele kwa jumla ya mabao
5-2.Nao Celta de vigo wakawaondoa katika michuano hiyo vijana wa Diego Simione Atletico Madrid kwa kuwachapa kwa mabao 3-2.
Robo fainali ya pili itapigwa leo usiku kwa Las Palmas kushuka dimbani kuwakabili Valencia, huku Mirandés wakiwa na kibarua pevu dhidi ya Sevilla.
Post a Comment