video mpya: Reekado Banks - Sugar Baby Official Music Video 0 Video 17:08:00 A+ A- Print Email Reekado Banks amerudi kwenye headlines na ngoma yake mpya Sugar Baby. Katika video hiyo ambayo imejaa matukio ya siku ya harusi pia ndani ameonekana staa wa muziki Nigeria Don Jazzy Karibu uitazame hapa..
Post a Comment