Chelsea hadi itakapofika mwaka 2020 watakua na uwanja mpya ukiachana na
huu wa sasa hivi Stamford Bridge. Uwanja huo ambao unaigharimu Chelsea
kiasi cha £600million ili kuukamilisha utakua na uwezo wa kuingiza watu
60,000 kwa wakati mmoja.
Design ya uwanja huo unanekana kama temple flani la zamani la Romans na watu wameshaanza kuuita Roman’s temple of football. Hizi ni picha za muonekanao wa uwanja huo ambao utachangia kipato kikubwa kibiashara kwa Chelsea.

Post a Comment