0


Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma.

Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA.

  1. Piga simu 0689 122 515
  2. Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516
  3. Pia ametoa namba yake kuwa ni 0787 570 714 na ya Naibu wake kuwa ni 0784 228 095


Video iliyopachikwa hapo chini akizungumza Dk Mpango, ina maelezo haya na mengineyo.

Post a Comment

 
Top