Mahakama ya Frankfurt nchini Ujerumani leo imemhukumu kifungo cha maisha
jela Meya wa zamani wa Rwanda,Onesphore Rwabukombe , baada ya
kupatikana na hatia ya kuchochea mauaji ya kimbari ya zaidi ya watu 400
nchini Rwanda mwaka 1994, wengi wao wakiwa Watutsi. Tom Ndahiro mtafiti
wa masuala yanayohusu mauaji ya kimbari, anaelezea jinsi alivyoipokea
hukumu hiyo.
BOFYA HAPA KUSIKIZA SAUTI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment