0
Ziara ya ghafla ya Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa ndio ilianzisha yote haya ambayo kwa sasa yameendelea kuchukua headlines baada ya kugundulika kwamba kuna Makontena ambayo yamekua yakipitishwa bila kulipa kodi kwa muda mrefu kwenye bandari ya Dar es salaam.
Mpaka December 10 2015, Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imesema imeweza kukusanya zaidi ya shilingi BILIONI 10 kutokana na kontena ambazo zilipitishwa bila kulipiwa kodi, taarifa zaidi na kujua anaetafutwa na Polisi Dar es salaam sasa hivi bonyeza play kwenye hii video hapa chini.

Post a Comment

 
Top