
Gari
la Zimamoto mali ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Lindi imepata
ajali katika eneo la Mtanda Lindi Mjini mapema leo Mchana kwamba gari hilo lilikuwa na Maji ambayo
yalikuwa yanapelekwa kwa mkubwa wa serikali (Chanzo hakikutaja jina ni
nani). Na hadi sasa chanzo cha Ajali hiyo hakijajulikana. Endelea kuwa
nasi tutakujuaza. chanzo:Lindiyetu.com

Post a Comment