BREAKING NEWS: Mtu mmoja mwanaume ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja amefariki dunia papo hapo mara baada ya kugongwa na
lori katika eneo lililo jirani na nyumba ya mkurugenzi wa halmashauri
ya mji wa Masasi mkoani Mtwara. Habari zaidi tutawaletea.......
Post a Comment