Urusi-uturuki
Rais wa Urusi Vladmir Putin amekataa kulijadili swala hilo na Erdogan hadi atakapoomba msamaha.
Moscow inapanga kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Uturuki na tayari imeanza kupitia safari za watalii.
Uturuki imewaonya raia wake kutosafiri Urusi kwa dharura.
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Uturuki amesema kuwa raia wake wanakabiliwa na matatizo nchini Urusi sababu ilioshinikiza onyo hilo hadi pale hali ya kawaida itakaporudi.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.