Mbunge wa Kongwa Job Ndugai leo amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Bunge la 10 huku Anna Makinda akiwa spika wa bunge hilo.
Akitangaza matokeo hayo Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge alisema Ndugai ameshinda baada ya kupata jumla ya kura 254 sawa na 70% kati ya kura 365 zilizopigwa.
Katika kura zilizopigwa leo na wabunge mbalimbali Ndugai alikuwa akiwania nafasi hiyo na wagombea wenzake saba huku Goodluck Ole Medeye akishika nafasi ya pili kwa kupata kura 109.

Alikuwa naibu wa spika wa bunge lililokamilika.
Ndugai anatarajiwa kuliongoza bunge lenye zaidi ya wabunge 100 kutoka upinzani ,ikiwa ndio idadi kubwa zaidi kuwahi kuchaguliwa katika bunge hilo.
Kulikuwa na wagombea 8 waliowania wadhfa huo wa spika,lakini mwishowe ushindani ulikuwa kati ya mgombea wa chama tawala cha CCM Job Ole Ndugai na mwenzake wa upinzani Goodluck Ole Medeye kutoka chama cha Chadema.
Bunge jipya litakuwa na wanachama 394,ikiwa linawawakalishi 30 zaidi ikilinganishwa na bunge lililopita kufuatia kubuniwa kwa maeneo mapya ya ubunge.

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa
bunge la Tanzania. Ndugai mwenye umri wa miaka 55 alijipatia thuluthi
mbili ya kura zinazohitajika.

Post a Comment