Kikosi cha Zima Moto kikiwa katikaharakati za kuuzima moto huo, huku nyumba ikionekana kuteketea.
Nyumba hiyo imeteketea ikiwa ni pamoja na vitu vilivyokuwemo ndani ambavyo thamani yake bado haijafahamika.
Gari la Zima moto liliwasili eneo hilo na kusaidia kuzima moto huo japo tayari nyumba ilikuwa imekwishateketea. Aidha chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Nyumba hiyo baada ya moto kuzimwa.



Post a Comment