0
Ndugu zangu wanaliwale na wadau wa LIWALE NATIVE tumempoteza kijana au member mwezetu MIRAJI NDOLLO ambae amefariki leo majira ya mchana katika kijiji cha Kibutuka wilayani Liwale mkoani Lindi anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatatu kijijini kwao KIBUTUKA duha na maombi yenu ni muhimu sana
 Enzi ya uhai wake Miraji Ndolo

Post a Comment

 
Top