Michuano ya vilabu bingwa barani Ulaya iliendelea jana usiku (November 24, 2015) kwa michezo nane ya hatua ya makundi kupigwa kwenye nchi mbalimbali barani Ulaya. Michezo hiyo ilikuwa inashirikisha vilabu kutoka kundi E, F, G pamoja na H.
Mechi hizo zilimalizikia kwa matokeo tofauti huku baadhi ya timu zikiwa zimeshafuzu kuchea hatua ya mtoano ya mashindano hayo makubwa barani Ulaya kwa ngazi ya vilabu huku nyingine zikisubiri hadi mechi ya mwisho kuamua hatma yao na baadhi ya timu tayari zimesha tupwa nje ya michuano hiyo.
Haya hapa ni matokeo ya mechi zote zilizochezwa jana za makundi yote E, F, G na H .
Na huu ndiyo msimamo wa makundi hayo baada ya kila timu kucheza michezo mitano
Post a Comment