Jengo la Afisi ya Baraza la Manisppa
Zanzibar likiwa katika hali nzuri baada ya kufasnyiwa ukarabati mkubwa
wa jengo hilo lilioko katika Mji Mkongwe wa Zanzibar na tayari limeaza
kutowa huduma zake baada ya ujenzi wake kama linavyoonekana pichani leo
asubuhi likiwa katika harakati hizo.
Post a Comment