Zaidi ya shilingi milioni 30 zimetumika kwa ajili ya kukarabati wordi ya
watoto katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula
Akizungumza wakati wa
hafla hiyo iliyofanyika katika hospitali ya rufaa Ligula, Mkurugenzi mtendaji wa
Ecobank Tanzania, Enoch Osei-Safo alisema benki yake imekuwa ikisherekea Siku y
aecobank nchini Tanzania kwa kufanya matendo matukio ya na mambo ya kuthamini jamii inayoizunguka.
Alisema taifa la
kesho lipo mikononi mwa watoto Kwa
kulitambua hilo wameamua kutoa msaada wa kukarabari wodi ya watoto hao ili waweze kukua vizuri na kuwa na nguvu lazima wapata aafya bora.
”Tunatambu ataifa la kesho lipo mikononi mwa watoto wetu. Kwa kuhakikisha
tuna wapatia afya bora, watoto watakua wenye nguvu na ushupavu tayari kwa kukabiliananaDunia”alisema
Osei-Safo
Kwa upande wake mgeni rasim Kaimu mkuu wa mkoa
wa Mtwara ambaye pia mkuu wa wilaya ya Mtwara mjini, Fatma Ally aliyekuwa mgen irasmi
washughuli hiyo aliwapongeza Ecobank Tanzania kwa moyo wao mkunjufu katika kukarabati
wodi ya watoto na kujitolea muda wao kukaa na watoto hao waliokuwa wamelazwa wodini
hapo.
Fatma aliihimiza benki
hiyo kupanua wigo wa uhisani wao katika sektayaElimu,
Mazingira, Kilimona masuala mengine yanayo kabili jamii moja kwa moja na akawahakikishia
kuwa serikali itaendelea kuboresha hudumaza afya katika hospitali mbalimbali,
elimu na mazingira mkoa mzima.
NayeKaimu Mganga
mkuu wa hospitali hiyo Joseph Mweru aliipongeza
benki hiyo kwa mchango wao na kusema ukarabati huo utasaidia kupunguza vifovya watotowa
change ambao hupoteza maisha yao kwa kukosa mazingira safi, salama na hewasafi.
Takwimu zinaonyesha
vifo vya watoto mkoani Mtwara mwaka 2014 vilifikia 385 kutoka 240 vyamwaka
2013. Sababu kwabwa yaongezeko hili ni ukosefu wa hew asafi, malaria kali na maambukizo
ya magonjwa mengine.
mkuu wa wilaya Lindi Fatma Ali akizungumza na wananchi kwenye siku ya eco bank mkoani mtwara
Watoto na eco bank Mtwara
Post a Comment