0

Kampeni za uchaguzi-Liwale

Wagombea udiwani kata ya Likongowele Kella (CUF) na Titili (ccm) uso kwa USO kwenye mkutano wa cuf  uliofanyika leo katika kitongoji cha Mnungu kijiji cha Likongowele kata  ya Likongowele.

Mkutano uliovutia wafuasi wa CUF kwa kile kilichotokea kujio wa mgombea mwenza kupitia chama cha ccm kuja kusikiliza Sera za chama cha CUF kwenye mkutano hii haijawahi kutokea lakini ilikuwa kivutio kikubwa kwa chama cha CUF

Pia kwenye mkutano huo viongozi wa chama cha CUF walitoa elimu juu ya mfano wa karatasi ya wagombea jinsi ya kuwapigia kura kwa ufasaha ili kuwepuka kuaribika kwa kura pia waliwaamba wananchi kuwachagua madiwani wa chama cha CUF ili halmashauri iendeshwe na chama cha cuf .

Post a Comment

 
Top