0

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mvumili Kata ya Kichonda wilayani Liwale Mkoani Lindi Bw Abillah Njonjo amejeruhiwa kwa risasi leo asubuhi Baada ya kuhoji uhalali wa askari hao kufanya Upekuzi kwa wananchi bila Serikali ya Kijiji Hicho Kuwa na Taarifa.

Katika Tukio hilo Pia Mtendaji wa kijiji hicho Bw Juma Mikage nae alipokea Kipigo toka kwa Wananchi kwa madai yeye ndie alieleta askari hao kijijini.

Kwa sasa Mwenyekiti huyo amefikishwa katika Hospital Ya Ndanda mkoani Mtwara Kwa Matibabu Zaidi
Habari zaidi Tutawajuza..

CHANZO:LINDIYETU.COM

Post a Comment

 
Top