Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika octoba 25 mwaka huu,mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia vyama vinavyounda UMOJA WA KATIBA YA
WANANCHI (UKAWA) jimbo la Liwale Zuberi Kuchauka.
Kuchauka anayepeperusha bendere ya ukawa jimbo la Liwale Leo wamewaomba wananchi wa kata ya Liwale B kumuunga mkono kwa kumchagua ili aweze kuboresha afya na miundombinu kama barabara ili kuiweka Liwale katika mahali pazuri kwani hivi sasa Liwale inaonekana ipo pembezoni ni kukosekana kwa barabara.
Nae mgombea ubunge viti maalum kupitia CUF Nasra Luwaya amewahadiwa akimama kuwaletea mikopo yenye masharti nafuu na riba ndogo ili kuweza kuwainua kiuchumi endapo kama watakichagua chama cha Cuf kwa kura za kutosha.
Mgombea ubunge wa viti maalum akiomba kura kwa wapiga kura.
Post a Comment