Kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abraham Mohammed (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ofisini kwake, Mbezi, Dar es Salaam mara baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo.
Abraham wakati anasaini Mkataba mbele ya Hans Poppe leo Mbezi, Dar es Salaam
Post a Comment