0
 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungo huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. (Picha na Pamoja Blog)
 
Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.


 MMoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la Mwenge zilionekana Bajaji zikipakia na kushusha abiria baada ya madereva kuingia kwenye mgomo leo asubuhi

Post a Comment

 
Top