0

Mchezaji wa Simba, Ramadhan Kessy
Ramadhani Kessy amepewa saa 24 kutoa sababu ya kutohudhuria mazoezi ya timu hiyo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Simba, Stephen Ally, alisema Kessy ni mmoja kati ya wachezaji ambao hatacheza mechi dhidi ya Kagera Sugar, Jumamosi katika uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Kiongozi huyo wa Simba, alisema uongozi unamtaka beki huyo, kutoa maelezo ya kina kutokana na kushindwa kuhudhuria mazoezi kwa takriban wiki moja.
“Kessy hatocheza mechi dhidi ya Kagera, hana vigezo vya kupangwa. Hajahudhuria mazoezi kwa kipindi cha wiki moja.

Post a Comment

 
Top