TASWIRA YA AJALI ILIYOTOKEA LEO MSAADA GEREJI-BUGURUNI
Ajali ilipotokea ambapo ilihushwa baiskeli,bajaji na pikipiki na kupelekea mwendesha pikipiki kumgonga dada mmoja mwanachuo wa DSJ
Pikipiki iliyosababisha ajali maeneo ya kituo cha msaada gereji-Buguruni ambapo kuna majengo ya Chuo cha TSJ na DSJ tukio hili limetokea majira ya saa 4:40 leo katika tukio hili dereva aliyegonga alitimua mbio ndipo wasamilia wema alianza kumkimbiza na kumkamata.
Mwanachuo aliyepata ajali ambapo ajafahamika jina lake amekimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi.
Mashuhuda na wasamilia wema wakitoa msaada katika eneo la tukio
mashuhuda wa tukio wakiwa eneo la tukio
Dereva wa pikipiki akilazimishwa aingie ndani ya TAX ili amsindikie mgonjwa akatibiwe hali hii ya kuzonga watu baada ya kujaribu kutimua mbio na kukamatwa dereva huyo.
Post a Comment