0

  
PICHA KUTOKA MAKTABA
NA MWAANDISHI WETU LINDI
WADAU NA TAASISI BINAFSI  MKOANI LINDI WAMETAKIWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA KUCHANGIA UBORESHWAJI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU  ILI KUSAIDIA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOIKABILI SEKTA YA ELIMU MKOANI HUMO.
MKUU WA MKOA WA LINDI MWANTUMU MAHIZA PAMOJA NA MENEJA WA BENKI YA NMB KANDA YA KUSINI LILIAN WAKATI WA MAKABIDHIANO YA SAMANI IKIWEMO MADAWATI NA VITI  ZILIZOTOLEWA NA BENKI HIYO  NA KUKABIDHIWA KWA SHULE YA SEKONDARI RUANGWA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TANO, AMBAPO WOTE KWA PAMOJA WAMEZUNGUMZIA UMUHIMU WA UCHANGIAJI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU ILI KUINUA SEKTA YA ELIMU MKOANI HUMO INAOKABILIWA NA CHANGAMOTO NYINGI
AIDHA WANAFUNZI WALIOPOKEA MADAWATI HAYO WAMEISHUKURU BENKI HIYO KWA KUWACHANGIA MADAWATI NA VITI KWA AJILI YA SHULE YAO HUKU WAKIZITAKA TAASISI ZINGINE KOTE NCHINI KUUNGA MKOANO JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU

Post a Comment

 
Top