Histori ndani ya mkoa wa Lindi zipo nyingi sana leo tunawaletea baadhi ya historia iliyopo wilayani kilwa mkoani Lindi
Hapa ndiyo ulikupokuwa mwembe kinyonga wilayani Kilwa ambapo sasa wamejenga mnara wa makumbusho ili kuweka kumbukumbu ya waliponyongwa viongozi saba wa vita vya majimaji
MAJINA YA VIONGOZI SABA WALIONYONGWA
1.HASANI O. MAKUNGANYA
2.ABDALA BIN WAZIRI
3.MAALIM MWITA
4.MZEE MANDANDA
5.BAKARI K. KIPUKUSWA
6.MZEE AHMADI WANJAALE
7.MZEE MATENGANYA
KWA HISTORI ZA MKOA WA LINDI TEMBELEA LIWALE YETU BLOG NA SAUTI YA KUSINI.

Post a Comment