RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua
Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha
kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili
kuboresha utendaji kazi. Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa
nafasi wazi ishirini na saba (27) zilizotokana na:
a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;
b) Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa Mikoa;
c) Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na
d) Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu wapya
wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya
kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki
katika vituo vya sasa.
1) Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia
1. Capt. (mst) James C. Yamungu- Serengeti
2. Anna J. Magoha Urambo
3 Moshi M. Chang’a- Kalambo
2) Wakuu wa Wilaya waliopandishwa cheo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo kuwa Wakuu
wa Mikoa
1. John Vianney Mongela - Kagera
2. Amina Juma Masenza - Iringa
3.Dkt. Ibrahim Hamis-Msengi
4 Halima Omari Dendego- Mtwara
5 Daudi Felix Ntibenda - Arusha
3) Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na
watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;
1 Brig. General Cosmas Kayombo- Simanjiro
2 Col. Ngemela Elson Lubinga- Mlele
3 Juma Solomon Madaha- Ludewa
4 Mercy Emanuel Silla -Mkuranga
5 Ahmed Ramadhan Kipozi -Bagamoyo
6 Mrisho Gambo -Korogwe
7. Elinas Anael Pallangyo -Rombo
4) Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na
sababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo vyao ni kama
inavyoonekana hapa chini:
1. James Kisota Ole Millya- Longido
2. Elias Wawa Lali -Ngorongoro
3. Alfred Ernest Msovella- Kongwa
4. Dany Beatus Makanga- Kasulu
5. Fatma Losindilo Kimario -Kisarawe
6. Elibariki Emanuel Kingu -Igunga
7. Dr. Leticia Moses Warioba- Iringa
8 Evarista Njilokiro Kalalu -Mufindi
9. Abihudi Msimedi Saideya- Momba
10. Martha Jachi Umbula -Kiteto
11 Khalid Juma Mandia -Babati
12 Eliasi Goroi Boe Boe Goroi -Rorya
5) Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa
Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao ni
wafuatao;
1. Mariam Ramadhani Mtima - Ruangwa
2. Dkt. Jasmine B. Tiisike-Mpwapwa
3. Pololeti Mgema -Nachingwea
4. Fadhili Nkurlu - Misenyi
5. Felix Jackson Lyaniva --Rorya
6. Fredrick Wilfred Mwakalebela - Wanging’ombe
7. Zainab Rajab Mbussi - Rungwe
8. Francis K. Mwonga - Bahi
9.Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka-Kiteto
10. Husna Rajab Msangi -Handeni
11. Emmanuel Jumanne Uhaula -Tandahimba
12. Mboni Mhita - Mufindi
13. Hashim S. Mngandilwa - Ngorongoro
14. Mariam M. Juma -Lushoto
15. Thea Medard Ntara - Kyela
16. Ahmad H. Nammohe - Mbozi
17. Shaban Kissu -Kondoa
18. Zelote Stephen - Musoma
19. Pili Moshi - Kwimba
20. Mahmoud A. Kambona -Simanjiro
21. Glorius Bernard Luoga -Tarime
22. Zainab R. Telack KE Sengerema
23. Bernard Nduta - Masasi
24. Zuhura Mustafa Ally - Uyui
25. Paulo Makonda - Kinondoni
26. Mwajuma Nyiruka - Misungwi
27. Maftah Ally Mohamed - Serengeti
6) Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi
kama ifuatavyo;
ATOKAYO AENDAYO
1. Nyerembe Deusdedit Munasa: Arumeru- Mbeya
2 Jordan Mungire Obadia Rugimbana; Kinondoni- Morogoro
3 Fatma Salum Ally ;Chamwino -Mtwara
4 Lephy Benjamini Gembe ; Dodoma Mjini-Kilombero
5 Christopher Ryoba Kangoye: Mpwapwa- Arusha
6 Omar Shaban Kwaang’ ;Kondoa- Karatu
7 Francis Isack Mtinga ;Chemba- Muleba
8 Elizabeth Chalamila Mkwasa KE Bahi Dodoma
9 Agnes Elias Hokororo (Mb); Ruangwa -Namtumbo
10 Regina Reginald Chonjo ; Nachingwea- Pangani
11 Husna Mwilima ; Mbogwe- Arumeru
12 Gerald John Guninita ; Kilolo- Kasulu
13 Bi Zipporah Lyon Pangani ; Bukoba -Igunga
14 Col. Issa Suleimani Njiku; Missenyi -Mlele
16 Bw. Richard Mbeho ; Biharamulo- Momba
17 Bw. Lembris Marangushi Kipuyo; Muleba-Rombo
18 Ramadhani Athuman Maneno;Kigoma- Chemba
19 Venance Methusalah Mwamoto; Kibondo- Kaliua
20 Gishuli Mbegesi Charles;Buhigwe- Ikungi
21 Novatus Makunga;Hai- Moshi
21 Anatory Kisazi Choya;Mbulu- Ludewa
22 Christine Solomoni Mndeme; Hanang’- Ulanga
23 Jackson William Musome;Musoma- Bukoba
24 John Benedict Henjewele;Tarime- Kilosa
25 Dkt. Norman Adamson Sigalla ;Mbeya- Songea
26 Dr. Michael Yunia Kadeghe; Mbozi- Mbulu
27 Crispin Theobald Meela; Rungwe- Babati
28 Magreth Ester Malenga ;Kyela- Nyasa
29 Said Ali Amanzi; Morogoro-Singida
30 Antony John Mtaka ;Mvomero- Hai
31 Elias Choro John Tarimo; Kilosa- Biharamulo
32 Francis Cryspin Miti ; Ulanga- Hanang’
33 Hassan Elias Masala; Kilombero- Kibondo
34 Angelina Lubalo Mabula;Butiama- Iringa
35 Farida Salum Mgomi ;Masasi- Chamwino
36 Wilman Kapenjama Ndile;Mtwara- Kalambo
37 Ponsian Damiano Nyami ;Tandahimba- Bariadi
38 Mariam Sefu Lugaila; Misungwi- Mbogwe
39 Mary Tesha Onesmo;Ukerewe- Buhigwe
40 Karen Kemilembe Yunus;Sengerema -Magu
41 Josephine Rabby Matiro;Makete- Shinyanga
42 Joseph Joseph Mkirikiti ;Songea- Ukerewe
43 Abdula Suleiman Lutavi; Namtumbo- Tanga
44 Ernest Ng’wenda Kahindi ME Nyasa Longido
45 Anna Rose NdayishimaNyamubi;Shinyanga- Butiama
46 Rosemary Kashindi Kirigini(Mb);Meatu- Maswa
47 Abdallah Ali Kihato; Maswa- Mkuranga
48 Erasto Yohana Sima;Bariadi -Meatu
49 Queen Mwanshinga Mulozi ;Singida- Urambo
50 Yahya Esmail Nawanda; Iramba- Lindi
51 Manju Salum Msambya;Ikungi- Ilemela
52 Saveli Mangasane Maketta; Kaliua- Kigoma
53 Bituni Abdulrahman Msangi;Nzega- Kongwa
54 Lucy Thomas Mayenga ;Uyui- Iramba
55 Majid Hemed Mwanga ; Lushoto- Bagamoyo
56 Muhingo Rweyemamu ; Handeni- Makete
57 Hafsa Mahinya Mtasiwa; Pangani- Korogwe
58 Dr. Nasoro Ali Hamidi ; Lindi- Mafia
59 Festo Shemu Kiswaga ; Nanyumbu- Mvomero
60 Sauda Salum Mtondoo; Mafia -Nanyumbu
61 Seleman Mzee Seleman ;Kwimba -Kilolo
62 Esterina Julio Kilasi ;Wanging’ombe-Muheza
63 Subira Hamis Mgalu;Muheza- Kisarawe
64 Jacqueline Jonathan Liana; Magu- Nzega
7) Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya sasa
Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika vituo
vyao vya sasa;
1 Jowika Wilson Kasunga - Monduli
2 Raymond Hieronimi Mushi - Ilala
3 Sophia Edward Mjema - Temeke
4 Bw. Amani Kiungadua Mwenegoha -Bukombe
5 Bw. Ibrahim Wankanga Marwa -Nyang’wale
6 Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo -Chato
7 Bw. Manzie Omar Mangochie -Geita
8 Bi. Darry Ibrahim Rwegasira - Karagwe
9 Lt. Col. Benedict Kulikila Kitenga - Kyerwa
10 Constantine John Kanyasu -Ngara
11 Paza Tusamale Mwamulima -Mpanda
12 Peter Toima Kiroya -Kakonko
13 Hadija Rashid Nyembo - Uvinza
14 Dkt. Charles O. Mlingwa - Siha
15 Shaibu Issa Ndemanga - Mwanga
16 Herman Clement Kapufi - Same
17 Ephraim Mfingi Mbaga - Liwale
18 Abdallah Hamis Ulega - Kilwa
19 Joshua Chacha Mirumbe - Bunda
20 Deodatus Lucas Kinawiro - Chunya
21 Rosemary Staki Senyamule - Ileje
22 Gulamhusein Kifu Shaban - Mbarali
23 Christopher Edward Magala- Newala
24 Baraka Mbike Konisaga- Nyamagana
25 Sarah Philip Dumba-Njombe
26 Hanifa Mahmoud Karamagi-Gairo
27 Halima Meza Kihemba - Kibaha
28 Nurdin Babu -Rufiji
29 Mathew Sarja Sedoyeka - Sumbawanga
30 Idd Hassan Kimanta -Nkasi
31 Chande Bakari Nalicho - Tunduru
32 Bibi Senyi Simon Ngaga - Mbinga
33 Wilson Elisha Nkambaku - Kishapu
34 Benson Mwailugula Mpesya - Kahama
35 Paul Chrisant Mzindakaya - Busega
36 Georgina Elias Bundala -Itilima
37 Fatuma Hassan Toufiq-Manyoni
38 Lt. Edward Ole Lenga - Mkalama
39 Hanifa Mohamed Selengu- Sikonge
40 Suleman Omar Kumchaya -Tabora
41 Mboni Mwanahamis Mgaza -Mkinga
42 Seleman Salum Liwowa -Kilindi
Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia wote
utendaji kazi mahiri.
Mizengo K. P. Pinda
18.02.2015 WAZIRI MKUU
Post a Comment