0

Kuna utata juu ya Kasri ya Nkandla iliyopo kilomita 24 kutoka mjini Nkandla, Kwa Zulu-Natal ina milikiwa na raisi wa Afrika Kusini mheshimiwa Jacob Zuma. Inasemekana pesa zilizotumika kujenga eneo hili ni za uma. Utata huu ulisababisha vurugu katika bunge la nchi hiyo alipokua akihutubia wabunge wiki hii. Wabunge wa upinzani walihoji bila kufuata utaratibu wa bunge ni lini atarudisha pesa za uma alizotumia kwa maslahi yake binafsi?. Utata wa hali hii umepewa jina=>Nkandlagate
  .


 President Jacob Zuma's Nkandla homestead.jpg


Bunge la Afrika kusini liligeuka kuwa uwanja wa vita ambapo wabunge wa upinzani ilifikia hatua ya kuvutana mashati na maafisa wa usalama na kufanya wabunge wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) wakiongozwa na Julias Malema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa nguvu na baadae wabunge wengine wa upanzani nao wakatoka nje ya ukumbi.
Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF kinachoongozwa na Julius Malema wakitaka kujua ni lini atarejesha pesa zilizojengea jumba lake la kifahari la Nkandla
 Anger:

Hayo yanatokea wakati kuna baadhi ya maeneo nchini humo wanaishi katika mazingira haya(pichani)
How the other half live:
How the other half live: The spending sparked public anger amid an economic crunch in a country where 10 million people live on social grants and many have only tin shacks for their homes

Post a Comment

 
Top