0

PICHA KUTOKA MAKTABA
Serikali imesema hakuna Mwanafunzi ambaye atakaye kaa chini akiwa darasani wala mwanaliwale atakaye kufa kwa uchafu hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya Mh. Ephraim Mmbaga katika kikao kilichofanyika jana tarehe 27/2/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Kawawa ambacho kilijumuisha kata tatu ya LIKONGOWELE,NANGANDO na LIWALE MJINI.
Wananchi wanaiomba serikali kuwa mbao zinazokamatwa na TFS kinyume cha sheria zitumike kutokomeza tatizo la madawati kwa Wanafunzi wa Liwale na DAS Mh. Nyamanga anziagiza shule zote za msingi zilizopo hapa wilayani kuanzia jumatatu zianze kutoa huduma ya uji kwa Wanafunzi wote wa wilayani  Liwale mkoani Lindi.

Post a Comment

 
Top