Kikosi cha Azam FC
Ziara ya Azam ni maandalizi katika kujiandaa na michuano ya klabu bigwa barani Afrika pamoja na ligi kuu ya Tanzania inayoendelea .
Azam walianza ziara yao kwa kupoteza mchezo mbele ya TP Mazembe kwa kichapo cha bao 1-0.
Kisha wakakubali suluhu ya mabao 2-2 dhidi ya mabigwa wa Zambia katika mchezo wao wa pili.
Timu
ya soka ya Azam ya leo itamaliza ziara yake nchi Jamuhuri ya
kidemokrasia ya Congo kwa kucheza mchezo wa mwisho na klabu ya Don Bosco
.
Mchezo utapigwa majira ya saa tisa kwa saa Afrika Mashariki
itafuatiwa na mechi kati ya Mabingwa wa DRC TP Mazembe dhidi ya Mabingwa
wa Zambia Zesco United.Ziara ya Azam ni maandalizi katika kujiandaa na michuano ya klabu bigwa barani Afrika pamoja na ligi kuu ya Tanzania inayoendelea .
Azam walianza ziara yao kwa kupoteza mchezo mbele ya TP Mazembe kwa kichapo cha bao 1-0.
Kisha wakakubali suluhu ya mabao 2-2 dhidi ya mabigwa wa Zambia katika mchezo wao wa pili.

Post a Comment