Moto ulianza saa tatu asubuhi mtaa wa Libya na Mosque, ambapo ulishika katika majengo matatu ya ghorofa yaliyoongozana na kuunguza vitu ambavyo thamani yake haijafamika.
Vikosi vya Zimamoto vilifika na kuudhibiti moto huo huku wakiendelea na uchunguzi kujua chanzo cha moto huo.
Kamanda wa Polisi Suleiman Kova amesema hakuna mtu aliyefariki wala kuumia kutokana na ajali hiyo.
Hapa kuna picha za tukio hilo.
Pichaz zote nimezitoa: http: issamichuzi.blogspot.com
Post a Comment