0

Jeshi kupambana na maji ya bahari yasije sababisha kufungwa kwa kiwanda cha kuchakata umeme itokanayo na gesi asilia zaendelea mkoani mtwara.
 Wajeshi waendelea kunusuru kiwanda cha kuchakata gesi asilia kisimezwe na maji ya bahari msimbati katika kijiji cha madimba mkoani mtwara zaendelea huku zaidi ya mita 100 kipande cha ardhi kimeliwa na maji ya bahari bado mita 15 kufikia kiwanda cha kuchakata gesi mtwara kumezwa na maji.jitihada zinaendelea.


 Wakijaribu kushauriana jinsi gani wataweza kuendesha zoezi la kudhiti mmomonyoko huo

Post a Comment

 
Top