Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye
uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi
ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.
Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea salamu
za kijeshi mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari
maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari
12, 2015.
Rais
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua
gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya
sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika leo Januari
12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.
Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia
wananchi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,yaliyofanyika leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa
Amani,Zanzibar.
Post a Comment