Moja
wa Sura mpya katika baraza jipya la Mawaziri Naibu Waziri wa Elimu Anne
Kilanngo Malecela akila kiapo Mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam leo,(PICHA NA FREDDY MARO)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na
manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya jana.Wanne
kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue
Post a Comment