0
Simba aliyejeruhi mkazi mmoja katika kijiji cha Kipule wilayani akiwa ameuawa na kupelekwa bomani


Liwale Lindi
Mkulima mmoja wa kijiji cha kipule kata ya Kipule wilayani Liwale mkoani Lindi amejeruhiwa mkononi na simba akiwa shambani  tukio hili limetokea juzi januari 21 mwaka 2015 majira ya jioni kijijini hapo.

Kabla ya kujeruhi katika kijiji hicho simba huyo alionekana maeneo  ya kaburi moja katika kata ya Nangando Liwale mjini.Baada ya kutokea tukio hilo walitoa taarifa sehemu husika na askari wa wanyamapoli wakaenda kijijini hapo Jana Januari 22 jioni kwa kufanya msako na leo asubuh ndio wakafanyikiwa kupiga risasi na kufanyikiwa kuawa.

 Mzoga huo wa simba ulipekwaofisi za bomani kisha kuurudisha katika ofisi za maliasili zilizopo wilayani Liwale. 

Post a Comment

 
Top