0

Jeshi la
polisi limetumia mabomu ya
machozi kuwatawanya wafuasi wa
chama cha wananchi CUF
waliokuwa wakiandamana kwa ajili
ya kukumbuka mauaji ya wenzao
huko Pemba yaliyotokea mwaka
2001,Ambapo mwenyekiti wake
Profesa Ibrahimu Lipumba
nimiongoni watu waliokubwa na
kadhia hiyo ya kupigwa mabomu
ya machoziTemeke jijini Dar es
Salaam

Post a Comment

 
Top