Vurugu
za aina yake ziliibuka Bungeni jana usiku baada ya UKAWA
Kugoma kuendelea na mjadala wa Bunge wakishinikiza Waziri
Muhongo awajibishwe....
Vurugu
hizo ziliibuka baada ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani
bungeni, mh. Freeman Mbowe kusimama na kumtuhumu Spika wa bunge
kuwakumbatia wezi wa Pesa za Escrow, hali iliyowafaya wabunge
wa upinzani wasimame na kuanza kuimba nyimbo za kuwataka wezi
watoke ndani ya ukumbi wa bunge... Hali hii ilimlazimu spika wa bunge kuahirisha bunge mpaka watakapojadiliana.
Post a Comment