0
Ni baadhi ya wadau walioudhuria kwenye mahazimisho hao wakiwa na mabango yenye ujumbe mzito "CHUKUA HATUA KATIKA KUJIKINGA NA UGONJWA WA KISUKARI"
Siku ya maadhimisho ya kisukari duniani hufanyika tarehe 14 novemba kila mwaka mwaka huu maadhisho hayo yamefanyika Zanzibar.

Naibu waziri wa Afya Zanzibar mwenye suti nyeusi ndugu Mohmoud Kombo akipokea maandamano kutoka kwa wanajumuiya ya wanaoishi na maradhi ya kisukari katika viwanja vya Malindi Zanzibar.

Post a Comment

 
Top