Imezoeleka kusikia ulanguzi na ubadhirifu katika bidhaa na shughuli mbalimbali ikiwemo rushwa ya pesa.
Lakini katika eneo la
Kaskazini magharibi huko nchini Tanzania hali ni tofauti ambapo baadhi
ya wananchi wanalalamika kuuziwa damu ya binadamu kwenye baadhi ya
hospitali.
Kwa kawaida damu hairuhusiwi kuuzwa kwa namna yoyote.BBC
Post a Comment