0

Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambapo amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo baada ya jana kumuomba samahani mtoto huyo. Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe
ambaye kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri wake kutompatia pesa ili amtumie baba yake ambaye alikuwa anaumwa. SOMA ZAIDI>>>

Post a Comment

 
Top