Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na
Othman Michuzi.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili
kwenye viwanja vya kawe lilipo Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa
na Mchungaji Josephat Gwajima leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa
kwenye kwenye jukwaa kuu na mwenyeji wake,Ambaye ni Kiongozi wa Kanisa
la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Josephat Gwajima (kushoto),Kawe jijini Dar
es Salaam leo.Wengine pichani ni Askofu Eliud Isanje (wa pili kulia) na
Mchungaji Elifuraha Laswai (kulia).
Kiongozi
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Josephat Gwajima akizungumza
wakati wa hafla ya uzinduzi wa Helkopta iliyonunuliwa na Mchungaji huo
kwa ajili ya kutoa huduma za kiroho.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwahutubia waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima,wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya
uzinduzi wa Helkopta itakayotumiwa na Mchungaji huyo katika kazi zake za
kiroho,hafla hiyo imefanyika leo kwenye viwanja vya Kawe,Jijini Dar es
Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akijadiliana jambo na baadhi ya wachungaji waliohudhulia kwenye hafla
hiyo.
wakielekea kwenye uzinduzi rasmi wa Helkopta.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Helkopta ya Mchungaji Josephat Gwajima
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (kulia kwa Mh. Lowassa).
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Mtoto wa Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiiingia
ndani ya Helkopta hiyo kuashiria kuizindua rasmi kwa safari mbali mbali
za kihuduma ya kiroho,itakayotumiwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiteta jambo na rubani wa Helkopta hiyo muda mfupi baada ya kuizindua.
Helkopta iliyozinduliwa ikipaa kuondoka uwanjani hapo na baadae kurudu mara baada ya kuzinduliwa na Mh. Lowassa.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akimsikiliza kwa makini Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima wakati akimuelezea kuhusu vitabu vyake alivyoviandika kabla ya
kuvizindua rasmi.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata
utepe kwenye vitabu viliyoandikwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima (kushoto)
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akionyesha moja ya vitabu viliyoandikwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima (kushoto) wakati alipovizindua rasmi leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.
Post a Comment