Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile akizungumza na wafanyakazi wa benki ya
Stanbick jana wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya wadau
Gesi na Oil yanayoendelea mkoani Mtwara.
Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara Wilman Ndile akizungumza na Ofisa wa Kampuni ya Magazeti
ya Serikali TSN, Francis Kihinga wakati walipokutana kwenye mkutano wa
wadau wa gesi unaoendelea mkoani Mtwara, TSN ni moja kati ya wadhamini
wa mkutano huo.
Baadhi ya
wananchi waliojitokeza kwenye maonesho ya bidhaa za wadau mbalimbali wa
madini yaliyofanyika sambamba na mkutano huo. Maonesho hayo yalifanyika
katika umbi wa Mikutano wa Chuo cha Veta Mtwara wakati Mkutano wa wadau
ulifanyika katika hoteli ya Naf.
Afisa
Matekelezi wa NSSF mkoani Mtwara, Jamila Mfanga akimkabidhi wa Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile vipeperushi vya bidhaa zake.
Picha na wadau.
Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) akiangalia bango la mafunzo ya
Chuo Kikuu Huria ambao walifungua chuo chao mkoani humo, nao walikuwa ni
baadhi ya waliojitokeza kwenye maonesho hayo pia pembeni yake ni Makamu
Mkuu wa Chuo hicho Tolly Mbwete.
Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) akiwaonesha baadhi ya wageni
waliohudhuria mkutano wa kujadilia masuala ya gesi na Mafuta unaoendelea
mkoani Mtwara, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta
binafsi nchini (TPSF) Godfrey Simbeye pembeni Mwenyekito wa Bodi ya
Ushauri wa Madini, Richard Kasesela.
Post a Comment