Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa Skafu na vijana na wa
Chipukizi wakati alipowasili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa
Lindi akianza ziara yake ya siku 16 katika mikoa ya Lindi na Mtwara
akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na
kuhimiza sughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Serikali kwa
kushirikiana na wananchi, Katibu Mkuu huyo anaongozana naNape Nnauye
Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na Mjumbe wa NEC mkoa wa
Lindi na Mbunge jimbo la Mtama Mh. Bernald Membe.(PICHA NA KIKOSIKAZI
CHA FULLSHANGWE-SOMANGA-KILWA)Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi
mbalimbali wa Wilaya ya Kilwa na Mkoa wa Lindi waliofika katika eneo la
Somanga kwa ajili ya mapokezi Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Lindi Mzee Ali Mtopa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofika
kumpokea katika eneo la Somanga wilayani Kilwa kushoto ni Nape Nnauye
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya
Kilwa Ndugu Abdallah Ulega wakati akielekea kushiriki ujenzi wa jengo la
VICOBA Mwamko Somanga.Mmoja wa wasanii Ali Said Abubakary akicheza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa VICOBA Mwamko Somanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ukumbi wa VICOBA Mwamko Somanga.Mjumbe
wa NEC mkoa wa Lindi na Mbunge jimbo la Mtama Mh. Bernald Membe
akizungumza na wananchi katika mji wa Somanga mara baada ya kumpokea
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Mkuu
wa mkoa wa Lindi Magalula Sid Magalula akiwasalimia wananchi huku
Katibu Mkuu wa CCM akinyanyua mkono wake juu kuashiria kupokea salamu
zao.
Post a Comment