Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la
Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika
Kitomanga Mkwajuni jimboni hapo wilaya ya Lindi vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa jimbo la Mchinga waliojitokeza kumpokea.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum wa
mapokezi kutoka kikundi cha uhamasishaji cha CCM Mchinga mara baada ya
kuwasili Kitomanga Mkwajuni jimbo la Mchinga.
Katibu Mkuu wa CCM akishiriki ujenzi wa ghala la kijiji ambalo litatumika kuhifadhia chakula kwa wakazi wa Kitomanga Mkwajuni
Wananchi
wa kijiji cha Namkongo wakimpokea Katibu mkuu wa CCM kwa namna yake
mara baada ya kuwasili kijijini hapo ambapo alizindua mradi wa maji na
kukabidhi saruji kwa ajili ya ujenzi wa soko.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa mbunge
wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda namna wananchi wa kijiji cha
Namkongo walivyopata tabu ya kutafuta maji
Wananchi
wa Namkongo walipata shida ya kutafuta maji hii picha inaonyesha aina
ya visima ambavyo wananchi walitegemea kupata maji.
Mbunge wa Mchinga Ndugu Said Mtanda akisoma taarifa ya mradi wa maji kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Kila mtu wa kijiji cha Namkongo alikuwa na shauku ya kumuona Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge
wa Mchinga Said Mtanda akishiriki kuimba kwaya ya Kikundi cha
Changamoto wakati wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman
Kinana katika jimbo la Namkongo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi saruji kwa ajili ya kusakafia soko.
Katibu Mkuu wa CCM akifungulia maji kama ishara ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Namkongo.
Mbunge wa Jimbo la Mchinga akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa Namkongo
Katibu
mkuu wa CCm Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha maji Bi.Rehema Anafi
mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Namkongo wilaya
ya Lindi Vijijini.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akinunua kashata kwenye soko la
kijiji cha Namkongo, wengine pichani ni Mkuu wa wilaya ya Lindi vijijini
Dkt. Hemid Nassoro (kulia),Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye na Mbunge wa jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda
(kushoto).
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka kukagua tenk la maji kijijini Namkongo.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza kwa makini mbunge wa
Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mkutano na wananchi wa
Kilangala.
Katibu mkuu akipitia taarifa mbali mbali za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha
Kilangala ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM ina viongozi bora na
shupavu hivyo wasiwe na wasiwasi wajitokeze kwa wingi kupiga kura wakati
wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kilangala na
kuwataka wazidi kushikamana na CCM kwa maendeleo ya baadae.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi baiskeli kwa viongozi wa matawi kata ya Kilangala.
Jiwe la msingi la ofisi ya CCM Tawi la Kilanga
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha
Mchinga II wakati wa kukagua na kushiriki ujenzi wa zahanati ya Mchinga
II
Wananchi
wakisoma vitabu vinavyoelezea utekelezaji wa ilani pamoja na ahadi za
CCM katika kijiji cha Mchinga II vilivyoandaliwa na Mbunge wao Said
Mtanda
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Michee ambapo
aliwataka wananchi kuweka mkazo kwenye elimu za watoto kwani elimu ndio
urithi pekee kutoka kwa mzazi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa mikutano Milola.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Milola, wilaya ya Lindi Vijijini ambapo aliwaambia
Umati
wa watu ukimsikiliza mbunge wao Said Mtanda kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika Milola ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana
Mbunge
wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda akihutubia wakazi wa Milola
ambapo aliwaambia asilimia kubwa za ahadi zake zimetimia.
Wananchi wakiwa mkutanoni Milola.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Milola
jimbo la Mchinga ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa sera mbadala
matokeo yake wamekuwa wakitumia muda mwingi kuishambulia CCM
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ,Mbunge wa Jimbo la Mtama na mlezi wa
wilaya Kilwa na Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akiwasalimia
wakazi wa Milola waliojitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman.
Msanii wa sanaa ya mashairi Farida Rajabu akiimba utenzi maalum wa mkoa wa Lindi.
Sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye pich ya pamoja baada
ya kuwakabidhi vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuendesha boda boda.
Wananchi wa Milola wakiomba kupatiwa kad za uananchama wa CCM kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa
Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika
Kitomanga Mkwajuni jimboni hapo wilaya ya Lindi vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa
jimbo la Mchinga waliojitokeza kumpokea.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo maalum wa
mapokezi kutoka kikundi cha uhamasishaji cha CCM Mchinga mara baada ya
kuwasili Kitomanga Mkwajuni jimbo la Mchinga.
Katibu Mkuu wa CCM akishiriki ujenzi wa ghala la kijiji ambalo
litatumika kuhifadhia chakula kwa wakazi wa Kitomanga Mkwajuni
Wananchi wa kijiji cha Namkongo wakimpokea Katibu mkuu wa CCM kwa namna
yake mara baada ya kuwasili kijijini hapo ambapo alizindua mradi wa
maji na kukabidhi saruji kwa ajili ya ujenzi wa soko.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa
mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda namna wananchi wa kijiji
cha Namkongo walivyopata tabu ya kutafuta maji
Wananchi wa Namkongo walipata shida ya kutafuta maji hii picha
inaonyesha aina ya visima ambavyo wananchi walitegemea kupata maji.
Mbunge wa Mchinga Ndugu Said Mtanda akisoma taarifa ya mradi wa maji
kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Kila mtu wa kijiji cha Namkongo alikuwa na shauku ya kumuona Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge wa Mchinga Said Mtanda akishiriki kuimba kwaya ya Kikundi cha
Changamoto wakati wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman
Kinana katika jimbo la Namkongo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi saruji kwa ajili
ya kusakafia soko.
Katibu Mkuu wa CCM akifungulia maji kama ishara ya kuzindua mradi wa
maji katika kijiji cha Namkongo.
Mbunge wa Jimbo la Mchinga akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa
Namkongo
Katibu mkuu wa CCm Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha maji Bi.Rehema
Anafi mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Namkongo
wilaya ya Lindi Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akinunua kashata kwenye
soko la kijiji cha Namkongo, wengine pichani ni Mkuu wa wilaya ya Lindi
vijijini Dkt. Hemid Nassoro (kulia),Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye na Mbunge wa jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda (kushoto).
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka kukagua tenk la
maji kijijini Namkongo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza kwa makini
mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mkutano na
wananchi wa Kilangala.
Katibu mkuu akipitia taarifa mbali mbali za utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi ya CCM 2010.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji
cha Kilangala ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM ina viongozi bora
na shupavu hivyo wasiwe na wasiwasi wajitokeze kwa wingi kupiga kura
wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa
Kilangala na kuwataka wazidi kushikamana na CCM kwa maendeleo ya baadae.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi baiskeli kwa
viongozi wa matawi kata ya Kilangala.
Jiwe la msingi la ofisi ya CCM Tawi la Kilanga
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji
cha Mchinga II wakati wa kukagua na kushiriki ujenzi wa zahanati ya
Mchinga II
Wananchi wakisoma vitabu vinavyoelezea utekelezaji wa ilani pamoja na
ahadi za CCM katika kijiji cha Mchinga II vilivyoandaliwa na Mbunge wao
Said Mtanda
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Michee
ambapo aliwataka wananchi kuweka mkazo kwenye elimu za watoto kwani
elimu ndio urithi pekee kutoka kwa mzazi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi
wakati akiingia kwenye uwanja wa mikutano Milola.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa
Milola, wilaya ya Lindi Vijijini ambapo aliwaambia
Umati wa watu ukimsikiliza mbunge wao Said Mtanda kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika Milola ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda akihutubia wakazi wa
Milola ambapo aliwaambia asilimia kubwa za ahadi zake zimetimia.
Wananchi wakiwa mkutanoni Milola.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa
Milola jimbo la Mchinga ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa sera
mbadala matokeo yake wamekuwa wakitumia muda mwingi kuishambulia CCM
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ,Mbunge wa Jimbo la Mtama na
mlezi wa wilaya Kilwa na Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe
akiwasalimia wakazi wa Milola waliojitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman.
Msanii wa sanaa ya mashairi Farida Rajabu akiimba utenzi maalum wa
mkoa wa Lindi.
Sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye pich ya pamoja
baada ya kuwakabidhi vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuendesha boda boda.
Wananchi wa Milola wakiomba kupatiwa kad za uananchama wa CCM kutoka kwa
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana
Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Post a Comment