0
                      Binti Ristina Ruoga ndio Spika wa serikali ya wanafunzi akiwa anaapishwa
Bwana Alphonce Ngaila makamu wa Rais akiwa anaapishwa
                                        ndugu Donald Mtani ambaye ni Rais wa chuo  akiapishwa


                                      Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya serikali ya wanafunzi



              Mwalimu Manyama pia ni mshauri wa wanafunzi akitoa ushauri kwa uongozi mpya
 Makamo wa Rais akitoa shukurani zake kwa wanafunzi na akiomba ushiriano ili kuweza maendeleo


                                     picha ya pamoja ya viongozi wa serikali mpya ya wanafunzi


     mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (kushoto) na Magesa makamo wa rais aliyemaliza muda wake




                     Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Dar es salaam school of journalism (DSJ)
Tukio hili la kuwaapisha limefanyika jana majira ya saa 5 asubuhi katika viwanja vya chuoni

ujumbe wa chuo "TOGETHER AS ONE"

Post a Comment

 
Top