0
          mtangaji wa channel ten John Kasembe na mzee Yusuph ndani ya Mtwara jana

 Ilivyokuwa jana katika viwanja vya mashujaa Mtwara katika uzinduzi wa Magic Fm si mchezo ilikuwa ni sheeeeeeeeedaaaaaaaaaaa........!!!!!!!!!!!!!!! kulikuwa na burudani ya aina yake Jukwanii kulikuwa na wasanii wengi maarufu kama mzee Yusuph na wengine.
 wakazi na mashabki wa Magic FM mtwara wakiwa katika viwanja vya Mashujaa Mtwara
 Kila mkazi wa Mtwara na mshabiki wa Magic FM hakutaka asimuliwe alienda kushudia show ya aina yake.

Post a Comment

 
Top