0


l
 
Bodabodas wa wilaya ya Liwale
 bodaboda wakiwa makini wakimsikiliza mwenyeti wao akiwa anasoma lisara
 
 Mwenyekiti wa bodaboda rafii likochelo akifungua hafla ya uzinduzi wa katiba ya chama cha bodaboda wilayani Liwale sherehe iliyoenda sambamba na kukabidhi pikipiki mpya  kwa wanachama.
 
 Mkuu wa wilaya Liwale  Ephraim Mmbaga amewataka vijana wilayani kuacha Tabia ya kujichukulia hatua na sheria mkono pia awaomba kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwa lengo la kudumisha amami.umoja na mshikamamo haya ameyasema kwenye uzinduzi wa KATIBA ya chama cha bodaboda.

Post a Comment

 
Top