0


Rapper chidi benz ijumaa iliyopita alikamatwa na polisi wa kitengo maalum cha kuzuia madawa ya kulevya pale JK nyerere international airport, baada ya kumshtukia kuwa amebeba madawa aina ya Heroin na alitaka kusafiri nayo kuelekea jijini Mbeya, jana kamanda nzowa akasema kikosi chake bado kinaendelea kumhoji msanii huyo, bila shaka atakua anaulizwa wapi alikotoa au kununua mzigo huo

Leo 255 imepiga story na mwanasheria privert kutoka trust worthy Attoneys na amefunguka mwenendo wa kesi za aina hii jinsi zinavyoendeshwa
na mahakama ndani ya bongo land.

Siku ya leo, Rapper Chidi Benz amepandisha kizimbani kwenye mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu ambapo alisomewa mashtaka matatu na kurejeshwa rumande hadi Nov 11.Cloudsfm

Post a Comment

 
Top